Hawa ni njiwa wa mapambo mmoja tu ana thamani sawa na kilo 100 za mchele

Kati zaidi ya aina 10 ya njiwa wa mapambo alionao Deogratius, mmoja anauzwa kati ya dola $85 mpaka $180 au shilingi laki 4 za Tanzania.

Read More