Tazama: Mti wa kushangaza unaogeuka jiwe Tanzania

Takribani nchi 10 duniani ikiwemo Tanzania zinatajwa kuwa na aina hii ya miti ya kushangaza, inayoitwa Miti mawe.

Read More  

Wanaume wanaonyanyaswa kwa kuvutwa sehemu zao za siri na wake zao Tanzania

Inakadiriwa kati ya visa viwili mpaka vitano huripotiwa kila mwezi

Read More  

Hawa ni njiwa wa mapambo mmoja tu ana thamani sawa na kilo 100 za mchele

Kati zaidi ya aina 10 ya njiwa wa mapambo alionao Deogratius, mmoja anauzwa kati ya dola $85 mpaka $180 au shilingi laki 4 za Tanzania.

Read More  

Unajua mtama unaweza kupunguza kasi ya uzee na magonjwa?

Kituo cha Utafiti wa kilimo, TARI-Ilonga, nchini Tanzania kimegundua hii ya kupunguza uzee, magonjwa ya saratani, kisukari na moyo.

Read More  

Wanawake wa Kigoma watoroka wakihofia wabakaji Tanzania maarufu 'Teleza'

Mashirika ya kiraia yanaeleza kuripotiwa kwa visa 43 vinavyotokana na mtindo huu mpya wa ubakaji.

Read More  

Njia 4 za ‘kusuka ama kunyoa’ kuhusu mjadala wa bandari Tanzania

Mjadala huu unatokana na uamuzi wa Serikali ya Tanzania, kuingia mkataba na Serikali ya Dubai kuhusu uendelezaji na uboreshaji wa bandari ya Dar es Salaam.

Read More  

Emanuel Mushi: Daktari mbunifu wa mashine za kienyeji zinazookoa maelfu ya watoto Tanzania

Vifaa hivyo; Local New-baby Thermal Control, Incubator baby na Enabranes Nest vimesaidia kuokoa maisha ya watoto zaidi ya 2,000.

Read More  

Mambo 10 yanayoutofautisha uchaguzi wa Kenya na nchi zingine Afrika

Ni uchaguzi wa saba wa mfumo wa vyama vingi na wa tatu tangu kuanzishwa kwa Tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC).

Read More