Mambo 10 yanayoutofautisha uchaguzi wa Kenya na nchi zingine Afrika

Na Yusuph Mazimu, BBC Swahili

Kenya imefanya Uchaguzi wake mkuu Agosti 9, 2022, na kumchagua William Ruto kuwa Rais wa tano wa taifa hilo, akimuangusha mwanasiasa mkongwe, Raila Odinga, aliyekuwa anagombea kwa mara ya tano na aliyekuwa anaungwa mkono na Rais Uhuru Kenyatta, anayemaliza muda wake.Ni uchaguzi wa saba wa mfumo wa vyama vingi na wa tatu tangu kuanzishwa kwa Tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC). Waangalizi wengi wa uchaguzi huo wameusifu.

Full article link: https://www.bbc.com/swahili/articles/cv2979lyrvgo