Wanaume wanaonyanyaswa kwa kuvutwa sehemu zao za siri na wake zao Tanzania

Na Yusuph Mazimu, BBC

Katika mji wa Makambako, mkoani Njombe mbali na kupigwa...wanaume sasa wanapaza sauti kutokana na vitendo vipya kuibuka vya kuvutwa sehemu zao za siri na wenza wao... - Inakadiriwa kati ya visa viwili mpaka vitano huripotiwa kila mwezi katika eneo hilo katika miezi ya hivi karibuni.... Mwandishi wa BBC, Yusuph Mazimu ameandaa taarifa hii

Full story Link: https://www.youtube.com/watch?v=IHuDH0dBYzg