Emanuel Mushi: Daktari mbunifu wa mashine za kienyeji zinazookoa maelfu ya watoto Tanzania

Na Yusuph Mazimu, BBC

Daktari mbunifu kutoka Tanzania Emanuel Mushi, amebuni  teknolojia maalumu tatu kwa pamoja: Local New-baby Thermal Control, Incubator baby na Enabranes Nest ambazo zinasaidia kukabiliana na matatizo yanayohusiana na joto la mwili kupungua kwa watoto wachanga. - Vifaa hivyo ambavyo amevitengeneza kwa njia ya kienyeji, vimesaidia kuokoa maisha ya watoto karibu 2000 katika Zahanati ya Mererani Yusuph Mazimu amemtembelea huko Mererani Manyara na kuandaa taarifa hii.

 

Full article link: https://www.youtube.com/watch?v=vUq-zM-rM1g